Showing 289–298 of 298 results

Wearable Electric Breast Pump

Sh 95,000
Wearable Electric Breast Pump Portable Hands Free Pump ya kukamulia maziwa ya mama ambayo unaivaa ndani ya brazia. Ni rahisi kutumia na pia itaendelea kamua maziwa wakati ukiendelea na shughuli zako.

Wooden assembly roller coaster ball track building car toy

Sh 55,000
Wooden assembly roller coaster ball track building car toy - mchezo muhimu katika kukuza ubunifu na kuongeza uelewa kwa mtoto. NB: Mtoto kuanzia miaka mitatu.

Wooden Learning Bead Maze Cube 5 in 1 Activity Center Educational Toy

Sh 40,000
Wooden Learning Bead Maze Cube 5 in 1 Activity Center Educational Toy - mchezo muhimu katika kuongeza uelewa wa rangi, maumbo na  kukuza ubunifu pia kuongeza uelewa kwa mtoto.

Wooden Montessori four color game

Sh 40,000
Wooden Montessori four color game - mchezo muhimu katika kukuza uwezo wa kufikiri na kuelewa mtoto wako. NB: Mtoto kuanzia miaka mitatu.