Showing 85–96 of 298 results

Breast Milk Collector

Sh 18,000

Breast Milk Collector

  • Ndogo, inabebeka na rahisi kwa mama anapokwenda sehemu yoyote
  • Laini na  rahisi kutumia

 JINSI YA KUTUMIA: Osha kikusanya maziwa ya mama kwa mikono vizuri kabla ya kutumia. Iweke kwenye titi lako na uifinye kidogo ili kunyonya, wakati unasukuma au mtoto ananyonya kwenye titi lingine. 

Chupi Mkojo

Sh 10,000
Chupi mkojo za kufua. Zimetengenezwa kwa material nzuri na hazipitishi mkojo.

Clinic Bag

Sh 40,000
5 Pcs Multifunctional Set Baby Changing Diaper Nappy Bag Maternity Mummy Handbag