Vichocheo/Nyongeza za Nyuzinyuzi ni Salama?
Kupata choo kigumu wakati wa ujauzito ni jambo la kawaida sana hasa kutokana na mabadiliko ya homoni. Ongezeko la homoni linaweza kupunguza kasi ya mfumo wa kumeng’enya chakula, hivyo kusababisha kupungua kwa mwendo wa kinyesi.